appwisp
  • App explorer
  • SDKs insights
  • API
  • Contact
  • About
  • API
  • Github
© 2025 appwisp.com

Sala na Maombi ya Kweli

sala.namaombi

View detailed information for Sala na Maombi ya Kweli — ratings, download counts, screenshots, pricing and developer details. See integrated SDKs and related technical data.

Total installs
80.9K(80,926)
Rating
unknown
Released
February 24, 2024
Last updated
January 1, 1970
Category
Lifestyle
Developer
Sachatech Ltd
Developer details

Name
Sachatech Ltd
E-mail
[email protected]
Website
unknown
Country
unknown
Address
unknown
Android SDKs

  • Android SDK
  • Google Firebase
  • Vungle
Sala na Maombi ya Kweli Header - AppWisp.com

Screenshots

Sala na Maombi ya Kweli Screenshot 1 - AppWisp.com
Sala na Maombi ya Kweli Screenshot 2 - AppWisp.com
Sala na Maombi ya Kweli Screenshot 3 - AppWisp.com
Sala na Maombi ya Kweli Screenshot 4 - AppWisp.com

Description

Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.

App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;

1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.

2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.

3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.

4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:-
✔Uponyaji
✔Upendo
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika

5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.

Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:-
✔Nyimbo za Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo za Wokovu
✔Nyimbo za Ibada
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo za Kristo
✔Nyimbo za Imani Yetu
✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali

VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Visa vya Biblia
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibada
7. Mafundisho ya Biblia

NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.