Momoa

com.momoa.app

View detailed information for Momoa โ€” ratings, download counts, screenshots, pricing and developer details. See integrated SDKs and related technical data.

Total installs
1.0K(1,078)
Rating
unknown
Released
October 13, 2022
Last updated
January 1, 1970
Category
Productivity
Developer
Swahilies
Developer details
Name
Swahilies
E-mail
inspirationswahili@gmail.com
Website
unknown
Country
unknown
Address
unknown
Android SDKs
Momoa Header - AppWisp.com

Screenshots

Momoa Screenshot 1 - AppWisp.com
Momoa Screenshot 2 - AppWisp.com
Momoa Screenshot 3 - AppWisp.com
Momoa Screenshot 4 - AppWisp.com

Description

Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.

Kupitia app ya Momoa:
ย ๐Ÿ’ฐ Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)
๐Ÿ’ฐ Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
๐Ÿ’ธ Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)
๐Ÿ‘ฆ๐Ÿผ Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu
๐Ÿšจ Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.
โฎ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku.
โœ๏ธ Wakala anaweza kuedit float au Cash. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.
โˆž Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.

๐Ÿ’™ Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka.

๐Ÿ‘‹Karibu Momoa. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (call or whatsapp)