appwisp
  • App explorer
  • SDKs insights
  • API
  • Contact
  • About
  • API
  • Github
© 2025 appwisp.com

Matukio

com.MatukioTz

View detailed information for Matukio — ratings, download counts, screenshots, pricing and developer details. See integrated SDKs and related technical data.

Total installs
72.6K(72,659)
Rating
0.0
Released
June 5, 2022
Last updated
April 8, 2025
Category
Entertainment
Developer
marick inc
Developer details

Name
marick inc
E-mail
[email protected]
Website
unknown
Country
unknown
Address
unknown
Android SDKs

  • Android SDK
  • Facebook Audience Network
  • Facebook SDK
  • Firebase Cloud Messaging
  • Google AdMob
  • Google Firebase
  • MoPub
  • Square
Matukio Header - AppWisp.com

Screenshots

Matukio Screenshot 1 - AppWisp.com
Matukio Screenshot 2 - AppWisp.com
Matukio Screenshot 3 - AppWisp.com
Matukio Screenshot 4 - AppWisp.com

Description

Matukio ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania, Kenya na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri nchini Tanzani, Kenya na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Afrika Mashariki,Kijamii,Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga, Simba, Gormahia, AFC Leopards n.k na pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata kupitia app hii.

BURUDANI, Hii sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video na audio pia.



App hii ni mahususi kwako ww mpenda taarifa za mapema kwa matukio yote yatakayokuwa yakijiri kila wakati ndani na nje ya Tanzania, Kenya n.k, usiache kuwa na app hii katika simu yako.

Ahsanteni.