Ushairi wa Mwanagenzi

appushairikimnetcoke.wpapp

View detailed information for Ushairi wa Mwanagenzi — ratings, download counts, screenshots, pricing and developer details. See integrated SDKs and related technical data.

Total installs
11.0K(11,076)
Rating
unknown
Released
February 12, 2021
Last updated
March 16, 2024
Category
Education
Developer
Kimnet Media
Developer details
Name
Kimnet Media
E-mail
admin@kimnet.co.ke
Website
unknown
Country
Kenya
Address
Nairobi, Kenya
Android SDKs
  • No items.
Ushairi wa Mwanagenzi Header - AppWisp.com

Screenshots

Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 1 - AppWisp.com
Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 2 - AppWisp.com
Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 3 - AppWisp.com
Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 4 - AppWisp.com

Description

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:
- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.
- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.
- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.
- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi
- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.
- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.
- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.
- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.